Native Bible

Job 33:27 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ndipo huja mbele za watu na kusema, ‘Nilitenda dhambi na kupotosha kilichokuwa haki, lakini sikuadhibiwa kama nilivyostahili.

Job 33:27 in English

Job 33:27 · Berean Standard Bible

Then he sings before * men with these words: ‘I have sinned and perverted what was right; yet I did not get what I deserved.

Context

25ndipo nyama ya mwili wake hufanywa mpya kama ya mtoto; hurudishwa upya kama siku za ujana wake. 26Humwomba Mungu, akapata kibali kwake, huuona uso wa Mungu na kushangilia kwa furaha; Mungu humrudisha katika hali yake ya uadilifu. 27Ndipo huja mbele za watu na kusema, ‘Nilitenda dhambi na kupotosha kilichokuwa haki, lakini sikuadhibiwa kama nilivyostahili. 28Alinikomboa nafsi yangu nisitumbukie shimoni, nami nitaishi ili kuufurahia mwanga.’ 29“Mungu hufanya haya yote kwa mwanadamu; mara mbili hata mara tatu,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.