Native Bible

Job 33:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Maneno yangu yanatoka katika moyo mnyofu; midomo yangu hunena kwa uaminifu yale niyajuayo.

Job 33:3 in English

Job 33:3 · Berean Standard Bible

My words are from an upright heart, and my lips speak sincerely what I know.

Context

1“Lakini Ayubu, sasa, sikiliza maneno yangu; zingatia kila kitu nitakachosema. 2Karibu nitafungua kinywa changu; maneno yangu yapo katika ncha ya ulimi wangu. 3Maneno yangu yanatoka katika moyo mnyofu; midomo yangu hunena kwa uaminifu yale niyajuayo. 4Roho wa Mungu ameniumba; pumzi ya Mwenyezi hunipa uhai. 5Unijibu basi, kama unaweza; jiandae kunikabili mimi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.