Native Bible

Job 33:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Roho wa Mungu ameniumba; pumzi ya Mwenyezi hunipa uhai.

Job 33:4 in English

Job 33:4 · Berean Standard Bible

The Spirit of God has made me, and the breath of the Almighty gives me life.

Context

2Karibu nitafungua kinywa changu; maneno yangu yapo katika ncha ya ulimi wangu. 3Maneno yangu yanatoka katika moyo mnyofu; midomo yangu hunena kwa uaminifu yale niyajuayo. 4Roho wa Mungu ameniumba; pumzi ya Mwenyezi hunipa uhai. 5Unijibu basi, kama unaweza; jiandae kunikabili mimi. 6Mimi ni kama wewe mbele za Mungu; mimi pia nimetolewa kwenye udongo.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.