Native Bible

Job 33:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Unijibu basi, kama unaweza; jiandae kunikabili mimi.

Job 33:5 in English

Job 33:5 · Berean Standard Bible

Refute me if you can; prepare your case and confront me.

Context

3Maneno yangu yanatoka katika moyo mnyofu; midomo yangu hunena kwa uaminifu yale niyajuayo. 4Roho wa Mungu ameniumba; pumzi ya Mwenyezi hunipa uhai. 5Unijibu basi, kama unaweza; jiandae kunikabili mimi. 6Mimi ni kama wewe mbele za Mungu; mimi pia nimetolewa kwenye udongo. 7Huna sababu ya kuniogopa, wala mkono wangu haupaswi kukulemea.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.