Native Bible

Job 33:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Huna sababu ya kuniogopa, wala mkono wangu haupaswi kukulemea.

Job 33:7 in English

Job 33:7 · Berean Standard Bible

Surely no fear of me should terrify you; nor will my hand be heavy upon you.

Context

5Unijibu basi, kama unaweza; jiandae kunikabili mimi. 6Mimi ni kama wewe mbele za Mungu; mimi pia nimetolewa kwenye udongo. 7Huna sababu ya kuniogopa, wala mkono wangu haupaswi kukulemea. 8“Lakini umesema nikiwa ninakusikia, nami nilisikia maneno yenyewe: 9‘Mimi ni safi na sina dhambi; mimi ni safi na sina hatia.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.