Native Bible

Job 33:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

‘Mimi ni safi na sina dhambi; mimi ni safi na sina hatia.

Job 33:9 in English

Job 33:9 · Berean Standard Bible

‘I am pure, without transgression; I am clean, with no iniquity in me.

Context

7Huna sababu ya kuniogopa, wala mkono wangu haupaswi kukulemea. 8“Lakini umesema nikiwa ninakusikia, nami nilisikia maneno yenyewe: 9‘Mimi ni safi na sina dhambi; mimi ni safi na sina hatia. 10Lakini bado Mungu amepata dosari kwangu, naye ananiona kama adui yake. 11Ananifunga miguu kwa pingu, tena anaziangalia njia zangu zote kwa karibu.’

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.