Ayubu 33:10
Job 33:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Lakini bado Mungu amepata dosari kwangu, naye ananiona kama adui yake.
Job 33:10 in English
Job 33:10 · Berean Standard Bible
Yet God finds occasions against me; He counts me as His enemy.
Context
8“Lakini umesema nikiwa ninakusikia,
nami nilisikia maneno yenyewe: 9‘Mimi ni safi na sina dhambi;
mimi ni safi na sina hatia. 10Lakini bado Mungu amepata dosari kwangu,
naye ananiona kama adui yake. 11Ananifunga miguu kwa pingu,
tena anaziangalia njia zangu zote kwa karibu.’ 12“Lakini mimi ninakuambia, katika jambo hili wewe una makosa,
kwa maana Mungu ni mkuu kuliko mwanadamu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.