Native Bible

Job 33:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ananifunga miguu kwa pingu, tena anaziangalia njia zangu zote kwa karibu.’

Job 33:11 in English

Job 33:11 · Berean Standard Bible

He puts my feet in the stocks; He watches over all my paths.’

Context

9‘Mimi ni safi na sina dhambi; mimi ni safi na sina hatia. 10Lakini bado Mungu amepata dosari kwangu, naye ananiona kama adui yake. 11Ananifunga miguu kwa pingu, tena anaziangalia njia zangu zote kwa karibu.’ 12“Lakini mimi ninakuambia, katika jambo hili wewe una makosa, kwa maana Mungu ni mkuu kuliko mwanadamu. 13Kwa nini unamlalamikia kwamba yeye hamjibu mwanadamu?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.