Ayubu 33:13
Job 33:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kwa nini unamlalamikia kwamba yeye hamjibu mwanadamu?
Job 33:13 in English
Job 33:13 · Berean Standard Bible
Why do you complain to Him that He answers nothing a man asks? *
Context
11Ananifunga miguu kwa pingu,
tena anaziangalia njia zangu zote kwa karibu.’ 12“Lakini mimi ninakuambia, katika jambo hili wewe una makosa,
kwa maana Mungu ni mkuu kuliko mwanadamu. 13Kwa nini unamlalamikia
kwamba yeye hamjibu mwanadamu? 14Kwa kuwa Mungu husema, wakati huu kwa njia moja,
au wakati mwingine kwa njia nyingine,
ingawa mwanadamu anaweza asielewe. 15Mungu husema na mwanadamu katika ndoto,
katika maono ya usiku,
wakati usingizi mzito uwaangukiapo
wanadamu wasinziapo vitandani mwao,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.