Ayubu 33:15
Job 33:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mungu husema na mwanadamu katika ndoto, katika maono ya usiku, wakati usingizi mzito uwaangukiapo wanadamu wasinziapo vitandani mwao,
Job 33:15 in English
Job 33:15 · Berean Standard Bible
In a dream, in a vision in the night, when deep sleep falls upon men as they slumber on their beds,
Context
13Kwa nini unamlalamikia
kwamba yeye hamjibu mwanadamu? 14Kwa kuwa Mungu husema, wakati huu kwa njia moja,
au wakati mwingine kwa njia nyingine,
ingawa mwanadamu anaweza asielewe. 15Mungu husema na mwanadamu katika ndoto,
katika maono ya usiku,
wakati usingizi mzito uwaangukiapo
wanadamu wasinziapo vitandani mwao, 16anaweza akasemea masikioni mwao,
na kuwatia hofu kwa maonyo, 17ili kumgeuza mtu kutoka kwenye kutenda mabaya
na kumwepusha na kiburi,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.