Native Bible

Job 33:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

ili kumgeuza mtu kutoka kwenye kutenda mabaya na kumwepusha na kiburi,

Job 33:17 in English

Job 33:17 · Berean Standard Bible

to turn a man from wrongdoing and keep him from pride,

Context

15Mungu husema na mwanadamu katika ndoto, katika maono ya usiku, wakati usingizi mzito uwaangukiapo wanadamu wasinziapo vitandani mwao, 16anaweza akasemea masikioni mwao, na kuwatia hofu kwa maonyo, 17ili kumgeuza mtu kutoka kwenye kutenda mabaya na kumwepusha na kiburi, 18kuiokoa nafsi yake na shimo, uhai wake usiangamizwe kwa upanga. 19Mtu anaweza kutiwa adabu kwa maumivu kitandani mwake, kwa dhiki za mfululizo katika mifupa yake,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.