Ayubu 33:19
Job 33:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mtu anaweza kutiwa adabu kwa maumivu kitandani mwake, kwa dhiki za mfululizo katika mifupa yake,
Job 33:19 in English
Job 33:19 · Berean Standard Bible
A man is also chastened on his bed with pain and constant distress in his bones,
Context
17ili kumgeuza mtu kutoka kwenye kutenda mabaya
na kumwepusha na kiburi, 18kuiokoa nafsi yake na shimo,
uhai wake usiangamizwe kwa upanga. 19Mtu anaweza kutiwa adabu kwa maumivu kitandani mwake,
kwa dhiki za mfululizo katika mifupa yake, 20kiasi kwamba maisha yake yenyewe yanakataa chakula
nayo nafsi yake ikakichukia kabisa hata chakula kizuri. 21Nyama ya mwili wake huisha kwa kukonda,
nayo mifupa yake ambayo mwanzoni ilikuwa imefichika,
sasa inatokeza nje.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.