Native Bible

Job 33:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

kiasi kwamba maisha yake yenyewe yanakataa chakula nayo nafsi yake ikakichukia kabisa hata chakula kizuri.

Job 33:20 in English

Job 33:20 · Berean Standard Bible

so that he detests his bread, and his soul loathes his favorite food.

Context

18kuiokoa nafsi yake na shimo, uhai wake usiangamizwe kwa upanga. 19Mtu anaweza kutiwa adabu kwa maumivu kitandani mwake, kwa dhiki za mfululizo katika mifupa yake, 20kiasi kwamba maisha yake yenyewe yanakataa chakula nayo nafsi yake ikakichukia kabisa hata chakula kizuri. 21Nyama ya mwili wake huisha kwa kukonda, nayo mifupa yake ambayo mwanzoni ilikuwa imefichika, sasa inatokeza nje. 22Nafsi yake inakaribia kaburi, nao uhai wake karibu na wajumbe wa kifo.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.