Native Bible

Job 33:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa kuwa Mungu husema, wakati huu kwa njia moja, au wakati mwingine kwa njia nyingine, ingawa mwanadamu anaweza asielewe.

Job 33:14 in English

Job 33:14 · Berean Standard Bible

For God speaks in one way and in another, yet no one notices.

Context

12“Lakini mimi ninakuambia, katika jambo hili wewe una makosa, kwa maana Mungu ni mkuu kuliko mwanadamu. 13Kwa nini unamlalamikia kwamba yeye hamjibu mwanadamu? 14Kwa kuwa Mungu husema, wakati huu kwa njia moja, au wakati mwingine kwa njia nyingine, ingawa mwanadamu anaweza asielewe. 15Mungu husema na mwanadamu katika ndoto, katika maono ya usiku, wakati usingizi mzito uwaangukiapo wanadamu wasinziapo vitandani mwao, 16anaweza akasemea masikioni mwao, na kuwatia hofu kwa maonyo,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.