Ayubu 33:2
Job 33:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Karibu nitafungua kinywa changu; maneno yangu yapo katika ncha ya ulimi wangu.
Job 33:2 in English
Job 33:2 · Berean Standard Bible
Behold, I will open my mouth; my address is on the tip of my tongue.
Context
1“Lakini Ayubu, sasa, sikiliza maneno yangu;
zingatia kila kitu nitakachosema. 2Karibu nitafungua kinywa changu;
maneno yangu yapo katika ncha ya ulimi wangu. 3Maneno yangu yanatoka katika moyo mnyofu;
midomo yangu hunena kwa uaminifu yale niyajuayo. 4Roho wa Mungu ameniumba;
pumzi ya Mwenyezi hunipa uhai.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.