Native Bible

Job 33:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Lakini Ayubu, sasa, sikiliza maneno yangu; zingatia kila kitu nitakachosema.

Job 33:1 in English

Job 33:1 · Berean Standard Bible

“But now, O Job, hear my speech, and listen to all my words.

Context

1“Lakini Ayubu, sasa, sikiliza maneno yangu; zingatia kila kitu nitakachosema. 2Karibu nitafungua kinywa changu; maneno yangu yapo katika ncha ya ulimi wangu. 3Maneno yangu yanatoka katika moyo mnyofu; midomo yangu hunena kwa uaminifu yale niyajuayo.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.