Ayubu 31:12
Job 31:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ni moto uwakao kwa Uharibifu;* ungekuwa umengʼoa mavuno yangu.
Job 31:12 in English
Job 31:12 · Berean Standard Bible
For it is a fire that burns down to Abaddon;* it would root out my entire harvest.
Context
10basi mke wangu na asage nafaka ya mwanaume mwingine,
nao wanaume wengine walale naye. 11Kwa kuwa hilo lingekuwa aibu,
naam, dhambi ya kuhukumiwa. 12Ni moto uwakao kwa Uharibifu;*
ungekuwa umengʼoa mavuno yangu. 13“Kama ningewanyima haki watumishi wangu wanaume au vijakazi wangu,
walipokuwa na manungʼuniko dhidi yangu, 14nitafanya nini Mungu atakaponikabili?
Nitamjibu nini nitakapoitwa kutoa hesabu?
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.