Native Bible

Job 31:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa kuwa hilo lingekuwa aibu, naam, dhambi ya kuhukumiwa.

Job 31:11 in English

Job 31:11 · Berean Standard Bible

For that would be a heinous crime, an iniquity to be judged.

Context

9“Kama moyo wangu umeshawishiwa na mwanamke, au kama nimevizia mlangoni mwa jirani yangu, 10basi mke wangu na asage nafaka ya mwanaume mwingine, nao wanaume wengine walale naye. 11Kwa kuwa hilo lingekuwa aibu, naam, dhambi ya kuhukumiwa. 12Ni moto uwakao kwa Uharibifu;* ungekuwa umengʼoa mavuno yangu. 13“Kama ningewanyima haki watumishi wangu wanaume au vijakazi wangu, walipokuwa na manungʼuniko dhidi yangu,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.