Ayubu 31:10
Job 31:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
basi mke wangu na asage nafaka ya mwanaume mwingine, nao wanaume wengine walale naye.
Job 31:10 in English
Job 31:10 · Berean Standard Bible
then may my own wife grind grain for another, and may other men sleep with her.
Context
8basi wengine na wale nilichokipanda,
nayo yale yote niliyootesha na yangʼolewe. 9“Kama moyo wangu umeshawishiwa na mwanamke,
au kama nimevizia mlangoni mwa jirani yangu, 10basi mke wangu na asage nafaka ya mwanaume mwingine,
nao wanaume wengine walale naye. 11Kwa kuwa hilo lingekuwa aibu,
naam, dhambi ya kuhukumiwa. 12Ni moto uwakao kwa Uharibifu;*
ungekuwa umengʼoa mavuno yangu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.