Native Bible

Job 31:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Kama moyo wangu umeshawishiwa na mwanamke, au kama nimevizia mlangoni mwa jirani yangu,

Job 31:9 in English

Job 31:9 · Berean Standard Bible

If my heart has been enticed by my neighbor’s wife, or I have lurked at his door,

Context

7kama hatua zangu zimepotoka kutoka kwenye njia, kama moyo wangu umeongozwa na macho yangu, au kama mikono yangu imetiwa unajisi, 8basi wengine na wale nilichokipanda, nayo yale yote niliyootesha na yangʼolewe. 9“Kama moyo wangu umeshawishiwa na mwanamke, au kama nimevizia mlangoni mwa jirani yangu, 10basi mke wangu na asage nafaka ya mwanaume mwingine, nao wanaume wengine walale naye. 11Kwa kuwa hilo lingekuwa aibu, naam, dhambi ya kuhukumiwa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.