Native Bible

Job 31:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

kama hatua zangu zimepotoka kutoka kwenye njia, kama moyo wangu umeongozwa na macho yangu, au kama mikono yangu imetiwa unajisi,

Job 31:7 in English

Job 31:7 · Berean Standard Bible

If my steps have turned from the path, if my heart has followed my eyes, or if impurity has stuck to my hands,

Context

5“Kama nimeishi katika uongo au mguu wangu umekimbilia udanganyifu, 6Mungu na anipime katika mizani za uaminifu, naye atajua kwamba sina hatia: 7kama hatua zangu zimepotoka kutoka kwenye njia, kama moyo wangu umeongozwa na macho yangu, au kama mikono yangu imetiwa unajisi, 8basi wengine na wale nilichokipanda, nayo yale yote niliyootesha na yangʼolewe. 9“Kama moyo wangu umeshawishiwa na mwanamke, au kama nimevizia mlangoni mwa jirani yangu,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.