Ayubu 31:5
Job 31:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Kama nimeishi katika uongo au mguu wangu umekimbilia udanganyifu,
Job 31:5 in English
Job 31:5 · Berean Standard Bible
If I have walked in falsehood or my foot has rushed to deceit,
Context
3Je, si uharibifu kwa watu waovu,
maangamizi kwa wale watendao mabaya? 4Je, yeye hazioni njia zangu
na kuihesabu kila hatua yangu? 5“Kama nimeishi katika uongo
au mguu wangu umekimbilia udanganyifu, 6Mungu na anipime katika mizani za uaminifu,
naye atajua kwamba sina hatia: 7kama hatua zangu zimepotoka kutoka kwenye njia,
kama moyo wangu umeongozwa na macho yangu,
au kama mikono yangu imetiwa unajisi,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.