Native Bible

Job 31:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Je, yeye hazioni njia zangu na kuihesabu kila hatua yangu?

Job 31:4 in English

Job 31:4 · Berean Standard Bible

Does He not see my ways and count my every step?

Context

2Kwa kuwa fungu la mwanadamu ni gani kutoka kwa Mungu juu, urithi wake kutoka kwa Mungu Mwenye Nguvu Aliye juu? 3Je, si uharibifu kwa watu waovu, maangamizi kwa wale watendao mabaya? 4Je, yeye hazioni njia zangu na kuihesabu kila hatua yangu? 5“Kama nimeishi katika uongo au mguu wangu umekimbilia udanganyifu, 6Mungu na anipime katika mizani za uaminifu, naye atajua kwamba sina hatia:

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.