Ayubu 31:2
Job 31:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kwa kuwa fungu la mwanadamu ni gani kutoka kwa Mungu juu, urithi wake kutoka kwa Mungu Mwenye Nguvu Aliye juu?
Job 31:2 in English
Job 31:2 · Berean Standard Bible
For what is the allotment of God from above, or the heritage from the Almighty on high?
Context
1“Nimefanya agano na macho yangu
yasimtazame msichana kwa kumtamani. 2Kwa kuwa fungu la mwanadamu ni gani kutoka kwa Mungu juu,
urithi wake kutoka kwa Mungu Mwenye Nguvu Aliye juu? 3Je, si uharibifu kwa watu waovu,
maangamizi kwa wale watendao mabaya? 4Je, yeye hazioni njia zangu
na kuihesabu kila hatua yangu?
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.