Native Bible

Job 31:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Nimefanya agano na macho yangu yasimtazame msichana kwa kumtamani.

Job 31:1 in English

Job 31:1 · Berean Standard Bible

“I have made a covenant with my eyes. How then could I gaze with desire at a virgin?

Context

1“Nimefanya agano na macho yangu yasimtazame msichana kwa kumtamani. 2Kwa kuwa fungu la mwanadamu ni gani kutoka kwa Mungu juu, urithi wake kutoka kwa Mungu Mwenye Nguvu Aliye juu? 3Je, si uharibifu kwa watu waovu, maangamizi kwa wale watendao mabaya?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.