Native Bible

Job 31:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Je, si uharibifu kwa watu waovu, maangamizi kwa wale watendao mabaya?

Job 31:3 in English

Job 31:3 · Berean Standard Bible

Does not disaster come to the unjust and calamity to the workers of iniquity?

Context

1“Nimefanya agano na macho yangu yasimtazame msichana kwa kumtamani. 2Kwa kuwa fungu la mwanadamu ni gani kutoka kwa Mungu juu, urithi wake kutoka kwa Mungu Mwenye Nguvu Aliye juu? 3Je, si uharibifu kwa watu waovu, maangamizi kwa wale watendao mabaya? 4Je, yeye hazioni njia zangu na kuihesabu kila hatua yangu? 5“Kama nimeishi katika uongo au mguu wangu umekimbilia udanganyifu,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.