Native Bible

Job 31:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Kama ningewanyima haki watumishi wangu wanaume au vijakazi wangu, walipokuwa na manungʼuniko dhidi yangu,

Job 31:13 in English

Job 31:13 · Berean Standard Bible

If I have rejected the cause of my manservant or maidservant when they made a complaint against me,

Context

11Kwa kuwa hilo lingekuwa aibu, naam, dhambi ya kuhukumiwa. 12Ni moto uwakao kwa Uharibifu;* ungekuwa umengʼoa mavuno yangu. 13“Kama ningewanyima haki watumishi wangu wanaume au vijakazi wangu, walipokuwa na manungʼuniko dhidi yangu, 14nitafanya nini Mungu atakaponikabili? Nitamjibu nini nitakapoitwa kutoa hesabu? 15Je, yeye aliyeniumba tumboni mwa mama yangu, si ndiye aliwaumba? Je, si ni yeye huyo mmoja aliyetuumba sote ndani ya mama zetu?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.