Native Bible

Job 31:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Je, yeye aliyeniumba tumboni mwa mama yangu, si ndiye aliwaumba? Je, si ni yeye huyo mmoja aliyetuumba sote ndani ya mama zetu?

Job 31:15 in English

Job 31:15 · Berean Standard Bible

Did not He who made me in the womb also make them? Did not the same One form us in the womb?

Context

13“Kama ningewanyima haki watumishi wangu wanaume au vijakazi wangu, walipokuwa na manungʼuniko dhidi yangu, 14nitafanya nini Mungu atakaponikabili? Nitamjibu nini nitakapoitwa kutoa hesabu? 15Je, yeye aliyeniumba tumboni mwa mama yangu, si ndiye aliwaumba? Je, si ni yeye huyo mmoja aliyetuumba sote ndani ya mama zetu? 16“Ikiwa nimewanyima maskini haja zao, au kuyaacha macho ya wajane yadhoofike, 17kama nimekula chakula changu mwenyewe, bila kuwashirikisha yatima;

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.