Ayubu 31:17
Job 31:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
kama nimekula chakula changu mwenyewe, bila kuwashirikisha yatima;
Job 31:17 in English
Job 31:17 · Berean Standard Bible
if I have eaten my morsel alone, not sharing it with the fatherless—
Context
15Je, yeye aliyeniumba tumboni mwa mama yangu,
si ndiye aliwaumba?
Je, si ni yeye huyo mmoja aliyetuumba sote
ndani ya mama zetu? 16“Ikiwa nimewanyima maskini haja zao,
au kuyaacha macho ya wajane yadhoofike, 17kama nimekula chakula changu mwenyewe,
bila kuwashirikisha yatima; 18lakini tangu ujana wangu nimemlea yatima kama ambavyo baba angefanya,
nami tangu kuzaliwa kwangu nimewaongoza wajane: 19kama nilimwona yeyote akiteseka kwa kukosa nguo,
au mtu mhitaji asiye na mavazi
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.