Native Bible

Job 31:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

kama nilimwona yeyote akiteseka kwa kukosa nguo, au mtu mhitaji asiye na mavazi

Job 31:19 in English

Job 31:19 · Berean Standard Bible

if I have seen one perish for lack of clothing, or a needy man without a cloak,

Context

17kama nimekula chakula changu mwenyewe, bila kuwashirikisha yatima; 18lakini tangu ujana wangu nimemlea yatima kama ambavyo baba angefanya, nami tangu kuzaliwa kwangu nimewaongoza wajane: 19kama nilimwona yeyote akiteseka kwa kukosa nguo, au mtu mhitaji asiye na mavazi 20ambaye wala moyo wake haukunibariki kwa kumpatia joto kwa mavazi ya manyoya ya kondoo zangu, 21na kama nimeinua mkono wangu dhidi ya yatima, nikijua kuwa nina ushawishi mahakamani,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.