Ayubu 31:20
Job 31:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
ambaye wala moyo wake haukunibariki kwa kumpatia joto kwa mavazi ya manyoya ya kondoo zangu,
Job 31:20 in English
Job 31:20 · Berean Standard Bible
if his heart has not blessed me * for warming him with the fleece of my sheep,
Context
18lakini tangu ujana wangu nimemlea yatima kama ambavyo baba angefanya,
nami tangu kuzaliwa kwangu nimewaongoza wajane: 19kama nilimwona yeyote akiteseka kwa kukosa nguo,
au mtu mhitaji asiye na mavazi 20ambaye wala moyo wake haukunibariki
kwa kumpatia joto kwa mavazi ya manyoya ya kondoo zangu, 21na kama nimeinua mkono wangu dhidi ya yatima,
nikijua kuwa nina ushawishi mahakamani, 22basi mkono wangu na unyofoke toka begani mwangu,
nao na uvunjike kutoka kiungio chake.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.