Native Bible

Job 31:22 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

basi mkono wangu na unyofoke toka begani mwangu, nao na uvunjike kutoka kiungio chake.

Job 31:22 in English

Job 31:22 · Berean Standard Bible

then may my arm fall from my shoulder and be torn from its socket.

Context

20ambaye wala moyo wake haukunibariki kwa kumpatia joto kwa mavazi ya manyoya ya kondoo zangu, 21na kama nimeinua mkono wangu dhidi ya yatima, nikijua kuwa nina ushawishi mahakamani, 22basi mkono wangu na unyofoke toka begani mwangu, nao na uvunjike kutoka kiungio chake. 23Kwa kuwa niliogopa uharibifu kutoka kwa Mungu, nami kwa kuuogopa utukufu wake sikuweza kufanya mambo kama hayo. 24“Kama nimeweka tumaini langu kwenye dhahabu, au kuiambia dhahabu safi, ‘Wewe ndiwe salama yangu,’

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.