Native Bible

Job 31:23 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa kuwa niliogopa uharibifu kutoka kwa Mungu, nami kwa kuuogopa utukufu wake sikuweza kufanya mambo kama hayo.

Job 31:23 in English

Job 31:23 · Berean Standard Bible

For calamity from God terrifies me, and His splendor I cannot overpower.

Context

21na kama nimeinua mkono wangu dhidi ya yatima, nikijua kuwa nina ushawishi mahakamani, 22basi mkono wangu na unyofoke toka begani mwangu, nao na uvunjike kutoka kiungio chake. 23Kwa kuwa niliogopa uharibifu kutoka kwa Mungu, nami kwa kuuogopa utukufu wake sikuweza kufanya mambo kama hayo. 24“Kama nimeweka tumaini langu kwenye dhahabu, au kuiambia dhahabu safi, ‘Wewe ndiwe salama yangu,’ 25kama nimefurahia wingi wa utajiri wangu, ustawi ambao mikono yangu ilikuwa imepata,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.