Ayubu 31:25
Job 31:25 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
kama nimefurahia wingi wa utajiri wangu, ustawi ambao mikono yangu ilikuwa imepata,
Job 31:25 in English
Job 31:25 · Berean Standard Bible
if I have rejoiced in my great wealth because my hand had gained so much,
Context
23Kwa kuwa niliogopa uharibifu kutoka kwa Mungu,
nami kwa kuuogopa utukufu wake sikuweza kufanya mambo kama hayo. 24“Kama nimeweka tumaini langu kwenye dhahabu,
au kuiambia dhahabu safi, ‘Wewe ndiwe salama yangu,’ 25kama nimefurahia wingi wa utajiri wangu,
ustawi ambao mikono yangu ilikuwa imepata, 26kama nimelitazama jua katika kungʼaa kwake
au mwezi ukienda kwa fahari yake, 27hivyo moyo wangu kushawishiwa kwa siri,
au kubusu mkono wangu kwa kuviheshimu,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.