Ayubu 31:26
Job 31:26 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
kama nimelitazama jua katika kungʼaa kwake au mwezi ukienda kwa fahari yake,
Job 31:26 in English
Job 31:26 · Berean Standard Bible
if I have beheld the sun * in its radiance or the moon moving in splendor,
Context
24“Kama nimeweka tumaini langu kwenye dhahabu,
au kuiambia dhahabu safi, ‘Wewe ndiwe salama yangu,’ 25kama nimefurahia wingi wa utajiri wangu,
ustawi ambao mikono yangu ilikuwa imepata, 26kama nimelitazama jua katika kungʼaa kwake
au mwezi ukienda kwa fahari yake, 27hivyo moyo wangu kushawishiwa kwa siri,
au kubusu mkono wangu kwa kuviheshimu, 28basi hiyo pia ingekuwa dhambi ya kuhukumiwa,
kwa kuwa ningekuwa si mwaminifu kwa Mungu aishiye juu sana.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.