Native Bible

Job 31:27 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

hivyo moyo wangu kushawishiwa kwa siri, au kubusu mkono wangu kwa kuviheshimu,

Job 31:27 in English

Job 31:27 · Berean Standard Bible

so that my heart was secretly enticed and my hand threw a kiss from my mouth,

Context

25kama nimefurahia wingi wa utajiri wangu, ustawi ambao mikono yangu ilikuwa imepata, 26kama nimelitazama jua katika kungʼaa kwake au mwezi ukienda kwa fahari yake, 27hivyo moyo wangu kushawishiwa kwa siri, au kubusu mkono wangu kwa kuviheshimu, 28basi hiyo pia ingekuwa dhambi ya kuhukumiwa, kwa kuwa ningekuwa si mwaminifu kwa Mungu aishiye juu sana. 29“Kama nimeshangilia msiba wa adui yangu, au kutazama kwa furaha taabu iliyomjia,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.