Native Bible

Job 31:29 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Kama nimeshangilia msiba wa adui yangu, au kutazama kwa furaha taabu iliyomjia,

Job 31:29 in English

Job 31:29 · Berean Standard Bible

If I have rejoiced in my enemy’s ruin, or exulted when evil befell him—

Context

27hivyo moyo wangu kushawishiwa kwa siri, au kubusu mkono wangu kwa kuviheshimu, 28basi hiyo pia ingekuwa dhambi ya kuhukumiwa, kwa kuwa ningekuwa si mwaminifu kwa Mungu aishiye juu sana. 29“Kama nimeshangilia msiba wa adui yangu, au kutazama kwa furaha taabu iliyomjia, 30lakini sikuruhusu kinywa changu kufanya dhambi kwa kuomba laana dhidi ya maisha yake; 31kama watu wa nyumbani mwangu kamwe hawakusema, ‘Ni nani ambaye hajashibishwa na nyama ya Ayubu?’

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.