Native Bible

Job 31:30 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

lakini sikuruhusu kinywa changu kufanya dhambi kwa kuomba laana dhidi ya maisha yake;

Job 31:30 in English

Job 31:30 · Berean Standard Bible

I have not allowed my mouth to sin by asking for his life with a curse—

Context

28basi hiyo pia ingekuwa dhambi ya kuhukumiwa, kwa kuwa ningekuwa si mwaminifu kwa Mungu aishiye juu sana. 29“Kama nimeshangilia msiba wa adui yangu, au kutazama kwa furaha taabu iliyomjia, 30lakini sikuruhusu kinywa changu kufanya dhambi kwa kuomba laana dhidi ya maisha yake; 31kama watu wa nyumbani mwangu kamwe hawakusema, ‘Ni nani ambaye hajashibishwa na nyama ya Ayubu?’ 32Lakini hakuna mgeni aliyelala njiani, kwa maana mlango wangu ulikuwa wazi kwa msafiri;

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.