Native Bible

Job 31:28 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

basi hiyo pia ingekuwa dhambi ya kuhukumiwa, kwa kuwa ningekuwa si mwaminifu kwa Mungu aishiye juu sana.

Job 31:28 in English

Job 31:28 · Berean Standard Bible

this would also be an iniquity to be judged, for I would have denied God on high.

Context

26kama nimelitazama jua katika kungʼaa kwake au mwezi ukienda kwa fahari yake, 27hivyo moyo wangu kushawishiwa kwa siri, au kubusu mkono wangu kwa kuviheshimu, 28basi hiyo pia ingekuwa dhambi ya kuhukumiwa, kwa kuwa ningekuwa si mwaminifu kwa Mungu aishiye juu sana. 29“Kama nimeshangilia msiba wa adui yangu, au kutazama kwa furaha taabu iliyomjia, 30lakini sikuruhusu kinywa changu kufanya dhambi kwa kuomba laana dhidi ya maisha yake;

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.