Native Bible

Job 31:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

nitafanya nini Mungu atakaponikabili? Nitamjibu nini nitakapoitwa kutoa hesabu?

Job 31:14 in English

Job 31:14 · Berean Standard Bible

what will I do when God rises to judge? How will I answer when called to account?

Context

12Ni moto uwakao kwa Uharibifu;* ungekuwa umengʼoa mavuno yangu. 13“Kama ningewanyima haki watumishi wangu wanaume au vijakazi wangu, walipokuwa na manungʼuniko dhidi yangu, 14nitafanya nini Mungu atakaponikabili? Nitamjibu nini nitakapoitwa kutoa hesabu? 15Je, yeye aliyeniumba tumboni mwa mama yangu, si ndiye aliwaumba? Je, si ni yeye huyo mmoja aliyetuumba sote ndani ya mama zetu? 16“Ikiwa nimewanyima maskini haja zao, au kuyaacha macho ya wajane yadhoofike,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.