Ayubu 30:29
Job 30:29 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Nimekuwa ndugu wa mbweha, rafiki wa mabundi.
Job 30:29 in English
Job 30:29 · Berean Standard Bible
I have become a brother of jackals,* a companion of ostriches.*
Context
27Kusukwasukwa ndani yangu kamwe hakutulii;
siku za mateso zinanikabili. 28Ninazunguka nikiwa nimeungua, lakini si kwa jua;
ninasimama katika kusanyiko nikiomba msaada. 29Nimekuwa ndugu wa mbweha,
rafiki wa mabundi. 30Ngozi yangu imekuwa nyeusi nayo inachunika;
mifupa yangu inaungua kwa homa. 31Kinubi changu kimegeuka kuwa maombolezo,
nayo filimbi yangu imekuwa sauti ya kilio.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.