Native Bible

Job 30:30 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ngozi yangu imekuwa nyeusi nayo inachunika; mifupa yangu inaungua kwa homa.

Job 30:30 in English

Job 30:30 · Berean Standard Bible

My skin grows black and peels, and my bones burn with fever.

Context

28Ninazunguka nikiwa nimeungua, lakini si kwa jua; ninasimama katika kusanyiko nikiomba msaada. 29Nimekuwa ndugu wa mbweha, rafiki wa mabundi. 30Ngozi yangu imekuwa nyeusi nayo inachunika; mifupa yangu inaungua kwa homa. 31Kinubi changu kimegeuka kuwa maombolezo, nayo filimbi yangu imekuwa sauti ya kilio.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.