Native Bible

Job 30:28 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ninazunguka nikiwa nimeungua, lakini si kwa jua; ninasimama katika kusanyiko nikiomba msaada.

Job 30:28 in English

Job 30:28 · Berean Standard Bible

I go about blackened, but not by the sun. I stand up in the assembly and cry for help.

Context

26Lakini nilipotazamia mema, mabaya yalinijia; nilipotafuta nuru, ndipo giza lilipokuja. 27Kusukwasukwa ndani yangu kamwe hakutulii; siku za mateso zinanikabili. 28Ninazunguka nikiwa nimeungua, lakini si kwa jua; ninasimama katika kusanyiko nikiomba msaada. 29Nimekuwa ndugu wa mbweha, rafiki wa mabundi. 30Ngozi yangu imekuwa nyeusi nayo inachunika; mifupa yangu inaungua kwa homa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.