Native Bible

Job 30:31 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kinubi changu kimegeuka kuwa maombolezo, nayo filimbi yangu imekuwa sauti ya kilio.

Job 30:31 in English

Job 30:31 · Berean Standard Bible

My harp is tuned to mourning and my flute to the sound of weeping.

Context

29Nimekuwa ndugu wa mbweha, rafiki wa mabundi. 30Ngozi yangu imekuwa nyeusi nayo inachunika; mifupa yangu inaungua kwa homa. 31Kinubi changu kimegeuka kuwa maombolezo, nayo filimbi yangu imekuwa sauti ya kilio.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.