Ayubu 30:24
Job 30:24 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Hakika hakuna yeyote amshambuliaye mhitaji, anapoomba msaada katika shida yake.
Job 30:24 in English
Job 30:24 · Berean Standard Bible
Yet no one stretches out his hand to a ruined man when he cries for help in his distress.
Context
22Unaninyakua na kunipeperusha kwa upepo;
umenirusha huku na huko kwenye dhoruba kali. 23Ninajua utanileta mpaka kifoni,
mahali ambapo wenye uhai wote wamewekewa. 24“Hakika hakuna yeyote amshambuliaye mhitaji,
anapoomba msaada katika shida yake. 25Je, sikulia kwa ajili ya wale waliokuwa katika taabu?
Je, nafsi yangu haikusononeka kwa ajili ya maskini? 26Lakini nilipotazamia mema, mabaya yalinijia;
nilipotafuta nuru, ndipo giza lilipokuja.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.