Native Bible

Job 30:22 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Unaninyakua na kunipeperusha kwa upepo; umenirusha huku na huko kwenye dhoruba kali.

Job 30:22 in English

Job 30:22 · Berean Standard Bible

You snatch me up into the wind and drive me before it; You toss me about * in the storm.

Context

20“Ee Bwana, ninakulilia wewe lakini hunijibu; ninasimama, nawe unanitazama tu. 21Wewe unanigeukia bila huruma; unanishambulia kwa nguvu za mkono wako. 22Unaninyakua na kunipeperusha kwa upepo; umenirusha huku na huko kwenye dhoruba kali. 23Ninajua utanileta mpaka kifoni, mahali ambapo wenye uhai wote wamewekewa. 24“Hakika hakuna yeyote amshambuliaye mhitaji, anapoomba msaada katika shida yake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.