Ayubu 30:20
Job 30:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Ee Bwana, ninakulilia wewe lakini hunijibu; ninasimama, nawe unanitazama tu.
Job 30:20 in English
Job 30:20 · Berean Standard Bible
I cry out to You for help, but You do not answer; when I stand up, You merely look at me.
Context
18Kwa uwezo wake mkuu Mungu huwa kwangu kama nguo;
hushikamana nami kama ukosi wa vazi langu. 19Yeye amenitupa kwenye matope,
nami nimekuwa kama mavumbi na majivu. 20“Ee Bwana, ninakulilia wewe lakini hunijibu;
ninasimama, nawe unanitazama tu. 21Wewe unanigeukia bila huruma;
unanishambulia kwa nguvu za mkono wako. 22Unaninyakua na kunipeperusha kwa upepo;
umenirusha huku na huko kwenye dhoruba kali.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.