Native Bible

Job 30:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa uwezo wake mkuu Mungu huwa kwangu kama nguo; hushikamana nami kama ukosi wa vazi langu.

Job 30:18 in English

Job 30:18 · Berean Standard Bible

With great force He grasps my garment;* He seizes me by the collar of my tunic.

Context

16“Sasa maisha yangu yamefikia mwisho; siku za mateso zimenikamata. 17Usiku mifupa yangu inachoma; maumivu yanayonitafuna hayatulii kamwe. 18Kwa uwezo wake mkuu Mungu huwa kwangu kama nguo; hushikamana nami kama ukosi wa vazi langu. 19Yeye amenitupa kwenye matope, nami nimekuwa kama mavumbi na majivu. 20“Ee Bwana, ninakulilia wewe lakini hunijibu; ninasimama, nawe unanitazama tu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.