Ayubu 30:17
Job 30:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Usiku mifupa yangu inachoma; maumivu yanayonitafuna hayatulii kamwe.
Job 30:17 in English
Job 30:17 · Berean Standard Bible
Night pierces my bones, and my gnawing pains never rest.
Context
15Vitisho vimenifunika;
heshima yangu imetoweshwa kama kwa upepo,
salama yangu imetoweka kama wingu. 16“Sasa maisha yangu yamefikia mwisho;
siku za mateso zimenikamata. 17Usiku mifupa yangu inachoma;
maumivu yanayonitafuna hayatulii kamwe. 18Kwa uwezo wake mkuu Mungu huwa kwangu kama nguo;
hushikamana nami kama ukosi wa vazi langu. 19Yeye amenitupa kwenye matope,
nami nimekuwa kama mavumbi na majivu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.