Native Bible

Job 30:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Sasa maisha yangu yamefikia mwisho; siku za mateso zimenikamata.

Job 30:16 in English

Job 30:16 · Berean Standard Bible

And now my soul is poured out within me; days of affliction grip me.

Context

14Wananijia kama watu wapitao katika ufa mpana; katikati ya magofu huja na kunishambulia. 15Vitisho vimenifunika; heshima yangu imetoweshwa kama kwa upepo, salama yangu imetoweka kama wingu. 16“Sasa maisha yangu yamefikia mwisho; siku za mateso zimenikamata. 17Usiku mifupa yangu inachoma; maumivu yanayonitafuna hayatulii kamwe. 18Kwa uwezo wake mkuu Mungu huwa kwangu kama nguo; hushikamana nami kama ukosi wa vazi langu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.